SAHAU ishu ya ndoa yake na Hamisa Mobetto. Achana na kitendo cha kusamehe fungate la ndoa na kukipiga katika mechi za Ligi ...
WAKATI watani wa jadi wa soka la Bongo, Simba na Yanga, wakitarajiwa kushuka dimbani katika dabi inayonadiwa kwa kaulimbiu ya ...
MASHABIKI wa soka nchini wanahesabu saa tu kwa sasa kabla ya Yanga na Simba kushuka uwanjani kesho Jumamosi katika pambano la ...
Kwa miaka takribani 10, Alikiba na Diamond Platnumz wamekuwa wakishindanishwa na mashabiki kutokana wanafanya vizuri lakini ...
KATI ya mambo ambayo wachezaji wa Simba na Yanga wanapenda kuyafanya katika maisha yao ya soka ni kucheza mechi za ushindani ...
KOCHA wa Fenerbanhce, Jose Mourinho amekataa kuondoa uwezekano wa kwenda Rangers inayoshiriki Ligi Kuu ya Scottland.
KATIKA mambo ambayo mashabiki wa soka wanapenda kuyaona kwenye Kariakoo Dabi Jumamosi hii, basi nyavu kutikiswa tena ...
SARE tatu mfululizo ilizopata KenGold katika mechi za Ligi Kuu Bara, zimemshtua kocha wa timu hiyo, Omar Kapilima na kusema ...
LICHA ya kubakiwa na mechi saba kwa upande wa Yanga ukiondoa mchezo wa Jumamosi huku Simba wakibakiwa na mechi nane, mchezo ...
Jumamosi kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam litapigwa pambano la watani wa jadi wa soka nchini, Simba na Yanga.
KUELEKEA mfumo mpya wa uendeshaji wa Kombe la Dunia la Klabu la FIFA, timu shiriki zinaripotiwa kuwa zitakunja pesa za ...
UTATAZAMA mchezo wa Dabi ya Kariakoo ukiwa wapi? Basi ukishafanya uamuzi kaa chini kwa utulivu kisha chungulia bato la eneo ...